Mathayo 16:15
Matthew 16:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?”
Matthew 16:15 in English
Matthew 16:15 · Berean Standard Bible
“But what about you?” Jesus asked. “Who do you say I am?”
Context
13Basi Yesu alipofika katika eneo la Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake, “Watu husema kwamba mimi Mwana wa Adamu ni nani?” 14Wakamjibu, “Baadhi husema ni Yohana Mbatizaji; wengine husema ni Eliya; na bado wengine husema ni Yeremia au mmojawapo wa manabii.” 15Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” 16Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu aliye hai.” 17Naye Yesu akamwambia, “Heri wewe, Simoni Bar-Yona,* kwa maana hili halikufunuliwa kwako na mwanadamu, bali na Baba yangu aliye mbinguni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.