Mathayo 16:14
Matthew 16:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakamjibu, “Baadhi husema ni Yohana Mbatizaji; wengine husema ni Eliya; na bado wengine husema ni Yeremia au mmojawapo wa manabii.”
Matthew 16:14 in English
Matthew 16:14 · Berean Standard Bible
They replied, “Some say John the Baptist; others say Elijah; and still others, Jeremiah or one of the prophets.”
Context
12Ndipo wakaelewa kwamba alikuwa hasemi juu ya chachu ya kutengeneza mikate, bali juu ya mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo. 13Basi Yesu alipofika katika eneo la Kaisaria-Filipi, akawauliza wanafunzi wake, “Watu husema kwamba mimi Mwana wa Adamu ni nani?” 14Wakamjibu, “Baadhi husema ni Yohana Mbatizaji; wengine husema ni Eliya; na bado wengine husema ni Yeremia au mmojawapo wa manabii.” 15Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” 16Simoni Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo,* Mwana wa Mungu aliye hai.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.