Native Bible

Matthew 13:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku iyo hiyo Yesu akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari.

Matthew 13:1 in English

Matthew 13:1 · Berean Standard Bible

That same day Jesus went out of the house and sat by the sea.

Context

1Siku iyo hiyo Yesu akatoka nje ya nyumba, akaketi kando ya bahari. 2Umati mkubwa mno wa watu ukakusanyika kumzunguka, hata ikabidi aingie katika chombo na kuketi humo, nao watu wote wakawa wamesimama ukingoni mwa bahari. 3Ndipo akawaambia mambo mengi kwa mifano, akisema: “Mpanzi alitoka kwenda kupanda mbegu zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.