Native Bible

Matthew 11:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”

Matthew 11:30 in English

Matthew 11:30 · Berean Standard Bible

For My yoke is easy and My burden is light.”

Context

28“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. 29Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu. 30Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.