Mathayo 11:28
Matthew 11:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
Matthew 11:28 in English
Matthew 11:28 · Berean Standard Bible
Come to Me, all you who are weary and burdened, and I will give you rest.
Context
26Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza. 27“Nimekabidhiwa vitu vyote na Baba yangu: Hakuna mtu amjuaye Mwana ila Baba, wala hakuna amjuaye Baba ila Mwana na yeyote ambaye Mwana anapenda kumfunulia. 28“Njooni kwangu, ninyi nyote mnaotaabika na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha. 29Jifungeni nira yangu, mjifunze kutoka kwangu, kwa maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtapata raha nafsini mwenu. 30Kwa maana nira yangu ni laini na mzigo wangu ni mwepesi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.