Native Bible

Matthew 11:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye aliye na masikio, na asikie.

Matthew 11:15 in English

Matthew 11:15 · Berean Standard Bible

He who has ears,* let him hear.

Context

13Kwa maana manabii wote na Sheria walitabiri mpaka wakati wa Yohana. 14Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Eliya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja. 15Yeye aliye na masikio, na asikie. 16“Lakini kizazi hiki nikifananishe na nini? Kinafanana na watoto waliokaa sokoni wakiwaita wenzao na kuwaambia, 17“ ‘Tuliwapigia filimbi, lakini hamkucheza; tuliwaimbia nyimbo za maombolezo, lakini hamkuomboleza.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.