Mathayo 11:14
Matthew 11:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Eliya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja.
Matthew 11:14 in English
Matthew 11:14 · Berean Standard Bible
And if you are willing to accept it, he is the Elijah who was to come.*
Context
12Tangu siku za Yohana Mbatizaji hadi sasa, Ufalme wa Mbinguni hupatikana kwa nguvu, nao wenye nguvu wanauteka. 13Kwa maana manabii wote na Sheria walitabiri mpaka wakati wa Yohana. 14Ikiwa mko tayari kukubali hilo, yeye ndiye yule Eliya ambaye manabii walikuwa wamesema angekuja. 15Yeye aliye na masikio, na asikie. 16“Lakini kizazi hiki nikifananishe na nini? Kinafanana na watoto waliokaa sokoni wakiwaita wenzao na kuwaambia,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.