Native Bible

Luke 9:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

kisha akawatuma waende wakahubiri Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa.

Luke 9:2 in English

Luke 9:2 · Berean Standard Bible

And He sent them out to proclaim the kingdom of God and to heal the sick.

Context

1Yesu kisha akawaita wale kumi na wawili pamoja, akawapa mamlaka na uwezo wa kutoa pepo wachafu wote na kuponya magonjwa yote, 2kisha akawatuma waende wakahubiri Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa. 3Akawaagiza akisema, “Msichukue chochote safarini: sio fimbo, wala mkoba, wala mkate, wala fedha, hata msichukue kanzu ya ziada. 4Katika nyumba yoyote mwingiayo, kaeni humo hadi mtakapoondoka katika mji huo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.