Native Bible

Luke 9:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu kisha akawaita wale kumi na wawili pamoja, akawapa mamlaka na uwezo wa kutoa pepo wachafu wote na kuponya magonjwa yote,

Luke 9:1 in English

Luke 9:1 · Berean Standard Bible

Then Jesus called the Twelve * together and gave them power and authority over all demons, and power to cure diseases.

Context

1Yesu kisha akawaita wale kumi na wawili pamoja, akawapa mamlaka na uwezo wa kutoa pepo wachafu wote na kuponya magonjwa yote, 2kisha akawatuma waende wakahubiri Ufalme wa Mungu na kuponya wagonjwa. 3Akawaagiza akisema, “Msichukue chochote safarini: sio fimbo, wala mkoba, wala mkate, wala fedha, hata msichukue kanzu ya ziada.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.