Luka 8:54
Luke 8:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!”
Luke 8:54 in English
Luke 8:54 · Berean Standard Bible
But Jesus took her by the hand and called out, “Child, get up!”
Context
52Wakati ule ule watu wote walikuwa wakilia na kuomboleza kwa ajili ya huyo binti. Yesu akawaambia, “Acheni kulia. Huyu binti hajafa, ila amelala.” 53Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa. 54Yesu akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!” 55Roho yake ikamrudia, naye akainuka mara moja. Akaamuru apewe kitu cha kula. 56Wazazi wake wakastaajabu sana, lakini Yesu akawakataza wasimwambie mtu yeyote juu ya yale yaliyotukia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.