Native Bible

Luke 8:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa.

Luke 8:53 in English

Luke 8:53 · Berean Standard Bible

And they laughed at Him, knowing that she was dead.

Context

51Walipofika nyumbani kwa Yairo, hakumruhusu mtu yeyote aingie ndani naye isipokuwa Petro, Yakobo na Yohana, pamoja na baba na mama wa yule binti. 52Wakati ule ule watu wote walikuwa wakilia na kuomboleza kwa ajili ya huyo binti. Yesu akawaambia, “Acheni kulia. Huyu binti hajafa, ila amelala.” 53Wao wakamcheka kwa dharau, wakijua kuwa amekwisha kufa. 54Yesu akamshika yule binti mkono na kuita, “Binti, amka!” 55Roho yake ikamrudia, naye akainuka mara moja. Akaamuru apewe kitu cha kula.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.