Luka 6:20
Luke 6:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akawatazama wanafunzi wake, akasema: “Mmebarikiwa ninyi mlio maskini, kwa sababu Ufalme wa Mungu ni wenu.
Luke 6:20 in English
Luke 6:20 · Berean Standard Bible
Looking up at His disciples, Jesus said: “Blessed are you who are poor, for yours is the kingdom of God.
Context
18Walikuwa wamekuja kumsikiliza na kuponywa magonjwa yao. Wale waliokuwa wakiteswa na pepo wachafu akawaponya. 19Watu wote walikuwa wanajitahidi kumgusa kwa sababu nguvu zilikuwa zikimtoka na kuwaponya wote. 20Akawatazama wanafunzi wake, akasema:
“Mmebarikiwa ninyi mlio maskini,
kwa sababu Ufalme wa Mungu ni wenu. 21Mmebarikiwa ninyi mlio na njaa sasa,
kwa sababu mtashibishwa.
Mmebarikiwa ninyi mnaolia sasa,
kwa sababu mtacheka. 22Mmebarikiwa ninyi, watu watakapowachukia,
watakapowatenga na kuwatukana
na kulikataa jina lenu kama neno ovu,
kwa ajili ya Mwana wa Adamu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.