Native Bible

Luke 5:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.”

Luke 5:32 in English

Luke 5:32 · Berean Standard Bible

I have not come to call the righteous, but sinners, to repentance.”

Context

30Lakini Mafarisayo na walimu wa sheria waliokuwa wa dhehebu lao wakawalalamikia wanafunzi wa Yesu, wakisema, “Mbona mnakula na kunywa pamoja na watoza ushuru na ‘wenye dhambi’?” 31Yesu akawajibu, “Wenye afya hawahitaji tabibu, bali walio wagonjwa. 32Sikuja kuwaita wenye haki, bali wenye dhambi wapate kutubu.” 33Wakamwambia Yesu, “Wanafunzi wa Yohana na wa Mafarisayo mara kwa mara hufunga na kuomba, lakini wanafunzi wako wanaendelea kula na kunywa.” 34Yesu akawajibu, “Je, mnaweza kuwafanya wageni wa bwana arusi kufunga wakati yuko pamoja nao?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.