Luka 4:32
Luke 4:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka.
Luke 4:32 in English
Luke 4:32 · Berean Standard Bible
They were astonished at His teaching, because His message had authority.
Context
30Lakini yeye akapita papo hapo katikati ya huo umati wa watu akaenda zake. 31Kisha Yesu akashuka kwenda Kapernaumu, mji wa Galilaya, na katika siku ya Sabato akawa anafundisha. 32Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka. 33Ndani ya sinagogi palikuwa na mtu aliyekuwa amepagawa na pepo mchafu. Naye akapiga kelele kwa nguvu akisema, 34“Tuache! Tuna nini nawe, Yesu wa Nazareti? Je, umekuja kutuangamiza? Ninakujua wewe ni nani. Wewe ndiwe Aliye Mtakatifu wa Mungu!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.