Luka 4:30
Luke 4:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini yeye akapita papo hapo katikati ya huo umati wa watu akaenda zake.
Luke 4:30 in English
Luke 4:30 · Berean Standard Bible
But Jesus passed through the crowd and went on His way.
Context
28Watu wote katika sinagogi waliposikia maneno haya, wakakasirika sana. 29Wakasimama, wakamtoa nje ya mji, wakamchukua hadi kwenye kilele cha mlima mahali ambapo mji huo ulikuwa umejengwa, ili wamtupe chini kutoka kwenye mteremko mkali. 30Lakini yeye akapita papo hapo katikati ya huo umati wa watu akaenda zake. 31Kisha Yesu akashuka kwenda Kapernaumu, mji wa Galilaya, na katika siku ya Sabato akawa anafundisha. 32Wakashangazwa sana na mafundisho yake, maana maneno yake yalikuwa na mamlaka.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.