Native Bible

Luke 24:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

wakisema, “Ni kweli! Bwana amefufuka, naye amemtokea Simoni.”

Luke 24:34 in English

Luke 24:34 · Berean Standard Bible

and saying, “The Lord has indeed risen and has appeared to Simon!”

Context

32Wakaulizana wao kwa wao, “Je, mioyo yetu haikuwakawaka kwa furaha ndani yetu alipokuwa anazungumza nasi njiani na kutufafanulia Maandiko?” 33Wakaondoka mara, wakarudi Yerusalemu. Wakawakuta wale wanafunzi kumi na mmoja na wale waliokuwa pamoja nao, wamekusanyika 34wakisema, “Ni kweli! Bwana amefufuka, naye amemtokea Simoni.” 35Kisha wale wanafunzi wawili wakaeleza yaliyotukia njiani na jinsi walivyomtambua Yesu alipoumega mkate. 36Walipokuwa bado wanazungumza hayo, Yesu mwenyewe akasimama katikati yao, akasema, “Amani iwe nanyi!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.