Native Bible

Luke 24:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha wale wanafunzi wawili wakaeleza yaliyotukia njiani na jinsi walivyomtambua Yesu alipoumega mkate.

Luke 24:35 in English

Luke 24:35 · Berean Standard Bible

Then the two told what had happened on the road, and how they had recognized Jesus in the breaking of the bread.

Context

33Wakaondoka mara, wakarudi Yerusalemu. Wakawakuta wale wanafunzi kumi na mmoja na wale waliokuwa pamoja nao, wamekusanyika 34wakisema, “Ni kweli! Bwana amefufuka, naye amemtokea Simoni.” 35Kisha wale wanafunzi wawili wakaeleza yaliyotukia njiani na jinsi walivyomtambua Yesu alipoumega mkate. 36Walipokuwa bado wanazungumza hayo, Yesu mwenyewe akasimama katikati yao, akasema, “Amani iwe nanyi!” 37Wakashtuka na kuogopa wakidhani kwamba wameona mzuka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.