Luka 23:30
Luke 23:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ndipo “ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!” na vilima, “Tufunikeni!” ’
Luke 23:30 in English
Luke 23:30 · Berean Standard Bible
At that time ‘they will say to the mountains, “Fall on us!” and to the hills, “Cover us!”’*
Context
28Yesu akawageukia, akawaambia, “Enyi binti za Yerusalemu, msinililie mimi bali jililieni ninyi wenyewe na watoto wenu. 29Kwa maana wakati utafika mtakaposema, ‘Wamebarikiwa wanawake tasa, ambao matumbo yao hayakuzaa, wala matiti yao hayakunyonyesha!’ 30Ndipo
“ ‘wataiambia milima, “Tuangukieni!”
na vilima, “Tufunikeni!” ’ 31Kwa maana kama wamefanya hivi kwa mti mbichi, kwa mti mkavu itakuwaje?” 32Watu wengine wawili wahalifu, walipelekwa pamoja na Yesu ili wakasulubiwe.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.