Luka 23:1
Luke 23:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha umati wote wa watu ukainuka na kumpeleka Yesu kwa Pilato.
Luke 23:1 in English
Luke 23:1 · Berean Standard Bible
Then the whole council rose and led Jesus away to Pilate.
Context
1Kisha umati wote wa watu ukainuka na kumpeleka Yesu kwa Pilato. 2Nao wakaanza kumshtaki wakisema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu, akiwazuia watu wasilipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni Kristo,* mfalme.” 3Basi Pilato akamuuliza Yesu, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?”
Yesu akajibu, “Wewe wasema.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.