Luka 23:3
Luke 23:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Basi Pilato akamuuliza Yesu, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?” Yesu akajibu, “Wewe wasema.”
Luke 23:3 in English
Luke 23:3 · Berean Standard Bible
So Pilate asked Him, “Are You the King of the Jews?” “You have said so,” Jesus replied.
Context
1Kisha umati wote wa watu ukainuka na kumpeleka Yesu kwa Pilato. 2Nao wakaanza kumshtaki wakisema: “Tumemwona huyu mtu akipotosha taifa letu, akiwazuia watu wasilipe kodi kwa Kaisari na kujiita kuwa yeye ni Kristo,* mfalme.” 3Basi Pilato akamuuliza Yesu, “Wewe ndiye mfalme wa Wayahudi?”
Yesu akajibu, “Wewe wasema.” 4Pilato akawaambia viongozi wa makuhani na watu wote waliokuwepo, “Sioni sababu ya kutosha kumshtaki mtu huyu!” 5Lakini wao wakakazana kusema, “Anawachochea watu kwa mafundisho yake katika Uyahudi yote, tangu Galilaya alikoanzia, hadi sehemu hii!”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.