Luka 22:57
Luke 22:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Petro akakana, akasema, “Ewe mwanamke, hata simjui!”
Luke 22:57 in English
Luke 22:57 · Berean Standard Bible
But Peter denied it. “Woman, I do not know Him,” he said.
Context
55Walipokwisha kuwasha moto katikati ya ua na kuketi pamoja, Petro naye akaketi pamoja nao. 56Mtumishi mmoja wa kike akamwona kwa mwanga wa moto akiwa ameketi pale. Akamtazama sana, akasema, “Huyu mtu pia alikuwa pamoja na Yesu!” 57Lakini Petro akakana, akasema, “Ewe mwanamke, hata simjui!” 58Baadaye kidogo, mtu mwingine alimwona Petro akasema, “Wewe pia ni mmoja wao!” Petro akajibu, “Wewe mtu, mimi sio mmoja wao!” 59Baada ya muda wa kama saa moja hivi, mtu mwingine akazidi kusisitiza, “Kwa hakika huyu mtu naye alikuwa pamoja na Yesu, kwa maana yeye pia ni Mgalilaya.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.