Luka 22:15
Luke 22:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kisha akawaambia, “Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu.
Luke 22:15 in English
Luke 22:15 · Berean Standard Bible
And He said to them, “I have eagerly desired to eat this Passover with you before My suffering.
Context
13Wakaenda, nao wakakuta kila kitu kama Yesu alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka. 14Wakati ulipowadia, Yesu akaketi mezani pamoja na wale mitume wake. 15Kisha akawaambia, “Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu. 16Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka mpaka itakapotimizwa katika Ufalme wa Mungu.” 17Akiisha kukichukua kikombe, akashukuru, akasema, “Chukueni hiki mnywe wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.