Native Bible

Luke 22:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati ulipowadia, Yesu akaketi mezani pamoja na wale mitume wake.

Luke 22:14 in English

Luke 22:14 · Berean Standard Bible

When the hour had come, Jesus reclined at the table with His apostles.

Context

12Atawaonyesha chumba kikubwa ghorofani, kikiwa kimepambwa vizuri. Andaeni humo.” 13Wakaenda, nao wakakuta kila kitu kama Yesu alivyowaambia. Hivyo wakaiandaa Pasaka. 14Wakati ulipowadia, Yesu akaketi mezani pamoja na wale mitume wake. 15Kisha akawaambia, “Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu. 16Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka mpaka itakapotimizwa katika Ufalme wa Mungu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.