Luka 22:17
Luke 22:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akiisha kukichukua kikombe, akashukuru, akasema, “Chukueni hiki mnywe wote.
Luke 22:17 in English
Luke 22:17 · Berean Standard Bible
After taking the cup, He gave thanks and said, “Take this and divide it among yourselves.
Context
15Kisha akawaambia, “Nimetamani sana kuila Pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu. 16Kwa maana, nawaambia, sitaila tena Pasaka mpaka itakapotimizwa katika Ufalme wa Mungu.” 17Akiisha kukichukua kikombe, akashukuru, akasema, “Chukueni hiki mnywe wote. 18Kwa maana nawaambia tangu sasa sitakunywa tena katika uzao wa mzabibu, hadi Ufalme wa Mungu utakapokuja.” 19Kisha akachukua mkate, akashukuru, akaumega, na kuwapa, akisema, “Huu ni mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu. Fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.