Luka 21:19
Luke 21:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kwa kuvumilia mtaokoa roho zenu.
Luke 21:19 in English
Luke 21:19 · Berean Standard Bible
By your patient endurance you will gain your souls.
Context
17Mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya Jina langu. 18Lakini hapatakuwa na unywele mmoja wa kichwa chenu utakaoangamia. 19Kwa kuvumilia mtaokoa roho zenu. 20“Mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, basi fahamuni kwamba kuharibiwa kwake kumekaribia. 21Wakati huo, wale walio Uyahudi wakimbilie milimani, walio mjini Yerusalemu watoke humo, nao wale walioko mashambani wasiingie mjini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.