Luka 21:17
Luke 21:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya Jina langu.
Luke 21:17 in English
Luke 21:17 · Berean Standard Bible
And you will be hated by everyone because of My name.
Context
15Kwa maana nitawapa maneno na hekima ambayo hakuna hata adui yenu mmoja atakayeweza kushindana nayo wala kuipinga. 16Mtasalitiwa hata na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki, na baadhi yenu watawaua. 17Mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya Jina langu. 18Lakini hapatakuwa na unywele mmoja wa kichwa chenu utakaoangamia. 19Kwa kuvumilia mtaokoa roho zenu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.