Luka 21:18
Luke 21:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini hapatakuwa na unywele mmoja wa kichwa chenu utakaoangamia.
Luke 21:18 in English
Luke 21:18 · Berean Standard Bible
Yet not even a hair of your head will perish.
Context
16Mtasalitiwa hata na wazazi, ndugu, jamaa na marafiki, na baadhi yenu watawaua. 17Mtachukiwa na watu wote kwa ajili ya Jina langu. 18Lakini hapatakuwa na unywele mmoja wa kichwa chenu utakaoangamia. 19Kwa kuvumilia mtaokoa roho zenu. 20“Mtakapoona mji wa Yerusalemu umezungukwa na majeshi, basi fahamuni kwamba kuharibiwa kwake kumekaribia.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.