Luka 20:23
Luke 20:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Yesu akatambua hila yao, kwa hiyo akawaambia,
Luke 20:23 in English
Luke 20:23 · Berean Standard Bible
But Jesus saw through their duplicity and said to them,
Context
21Hivyo wale wapelelezi wakamuuliza, “Mwalimu, tunajua unasema na kufundisha yaliyo kweli wala humpendelei mtu, bali wafundisha njia ya Mungu katika kweli. 22Je, ni halali sisi kulipa kodi kwa Kaisari, au la?” 23Lakini Yesu akatambua hila yao, kwa hiyo akawaambia, 24“Nionyesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni vya nani?” 25Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.”
Akawaambia, “Basi mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.