Luka 20:24
Luke 20:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Nionyesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni vya nani?”
Luke 20:24 in English
Luke 20:24 · Berean Standard Bible
“Show Me a denarius.* Whose image and inscription are on it?” “Caesar’s,” they answered.
Context
22Je, ni halali sisi kulipa kodi kwa Kaisari, au la?” 23Lakini Yesu akatambua hila yao, kwa hiyo akawaambia, 24“Nionyesheni dinari. Je, sura hii na maandishi haya yaliyoko juu yake ni vya nani?” 25Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.”
Akawaambia, “Basi mpeni Kaisari kilicho cha Kaisari, naye Mungu mpeni kilicho cha Mungu.” 26Wakashindwa kumkamata kwa yale aliyokuwa amesema hadharani. Nao wakashangazwa mno na majibu yake, wakanyamaza kimya.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.