Native Bible

Luke 19:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ”

Luke 19:27 in English

Luke 19:27 · Berean Standard Bible

And these enemies of mine who were unwilling for me to rule over them, bring them here and slay them in front of me.’”

Context

25“Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’ 26“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyangʼanywa. 27Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ” 28Baada ya Yesu kusema haya, alitangulia kupanda kwenda Yerusalemu. 29Naye alipokaribia Bethfage na Bethania kwenye mlima uitwao Mlima wa Mizeituni, aliwatuma wanafunzi wake wawili, akawaambia,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.