Native Bible

Luke 19:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’

Luke 19:25 in English

Luke 19:25 · Berean Standard Bible

‘Master,’ they said, ‘he already has ten!’

Context

23kwa nini basi hukuweka fedha zangu kwa watoa riba, ili nitakaporudi nichukue iliyo yangu na riba yake?’ 24“Ndipo akawaambia wale waliokuwa wamesimama karibu, ‘Mnyangʼanyeni fungu lake la fedha, mkampe yule mwenye kumi.’ 25“Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’ 26“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyangʼanywa. 27Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.