Luka 19:26
Luke 19:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyangʼanywa.
Luke 19:26 in English
Luke 19:26 · Berean Standard Bible
He replied, ‘I tell you that everyone who has will be given more; but the one who does not have, even what he has will be taken away from him.
Context
24“Ndipo akawaambia wale waliokuwa wamesimama karibu, ‘Mnyangʼanyeni fungu lake la fedha, mkampe yule mwenye kumi.’ 25“Wakamwambia, ‘Bwana, mbona; tayari anayo mafungu kumi!’ 26“Akawajibu, ‘Nawaambia kwamba kila aliye na kitu, ataongezewa. Lakini yule asiye na kitu, hata alicho nacho atanyangʼanywa. 27Lakini wale adui zangu ambao hawakutaka mimi niwe mfalme juu yao. Waleteni hapa mkawaue mbele yangu.’ ” 28Baada ya Yesu kusema haya, alitangulia kupanda kwenda Yerusalemu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.