Luka 18:21
Luke 18:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akajibu, “Amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.”
Luke 18:21 in English
Luke 18:21 · Berean Standard Bible
“All these I have kept from my youth,” he said.
Context
19Yesu akamjibu, “Mbona unaniita mwema? Hakuna yeyote aliye mwema ila Mungu peke yake. 20Unazijua amri: ‘Usizini, usiue, usiibe, usishuhudie uongo, waheshimu baba yako na mama yako.’ ” 21Akajibu, “Amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.” 22Yesu aliposikia haya, akamwambia, “Bado kuna jambo moja ulilopungukiwa. Nenda ukauze kila kitu ulicho nacho, uwape maskini, nawe utakuwa na hazina mbinguni. Kisha njoo, unifuate.” 23Aliposikia jambo hili, alisikitika sana kwa maana alikuwa mtu mwenye mali nyingi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.