Native Bible

Luke 15:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Yesu akawaambia mfano huu:

Luke 15:3 in English

Luke 15:3 · Berean Standard Bible

Then Jesus told them this parable:

Context

1Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Yesu. 2Lakini Mafarisayo na walimu wa sheria wakanungʼunika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.” 3Ndipo Yesu akawaambia mfano huu: 4“Ikiwa mmoja wenu ana kondoo mia moja, naye akapoteza mmoja wao, je, hawaachi wale tisini na tisa nyikani na kwenda kumtafuta huyo aliyepotea mpaka ampate? 5Naye akishampata, humbeba mabegani mwake kwa furaha

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.