Native Bible

Luke 15:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Yesu.

Luke 15:1 in English

Luke 15:1 · Berean Standard Bible

Now all the tax collectors and sinners were gathering around to listen to Jesus.

Context

1Basi watoza ushuru na wenye dhambi wote walikuwa wanakusanyika ili wapate kumsikiliza Yesu. 2Lakini Mafarisayo na walimu wa sheria wakanungʼunika wakisema, “Huyu mtu anawakaribisha wenye dhambi na kula nao.” 3Ndipo Yesu akawaambia mfano huu:

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.