Native Bible

Luke 15:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye akishampata, humbeba mabegani mwake kwa furaha

Luke 15:5 in English

Luke 15:5 · Berean Standard Bible

And when he finds it, he joyfully puts it on his shoulders,

Context

3Ndipo Yesu akawaambia mfano huu: 4“Ikiwa mmoja wenu ana kondoo mia moja, naye akapoteza mmoja wao, je, hawaachi wale tisini na tisa nyikani na kwenda kumtafuta huyo aliyepotea mpaka ampate? 5Naye akishampata, humbeba mabegani mwake kwa furaha 6na kwenda nyumbani. Kisha huwaita rafiki zake na majirani, na kuwaambia, ‘Furahini pamoja nami; nimempata kondoo wangu aliyepotea.’ 7Nawaambieni, vivyo hivyo kutakuwa na furaha zaidi mbinguni kwa sababu ya mwenye dhambi mmoja atubuye, kuliko kwa wenye haki tisini na tisa ambao hawana haja ya kutubu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.