Native Bible

Luke 13:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana, ni watu wachache tu watakaookolewa?”

Luke 13:23 in English

Luke 13:23 · Berean Standard Bible

“Lord,” someone asked Him, “will only a few people be saved?” Jesus answered,

Context

21Unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.” 22Yesu akapita katika miji na vijiji, akifundisha wakati alisafiri kwenda Yerusalemu. 23Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana, ni watu wachache tu watakaookolewa?” 24Yesu akawaambia, “Jitahidini sana kuingia kupitia mlango mwembamba, kwa maana nawaambia wengi watajaribu kuingia, lakini hawataweza. 25Wakati mwenye nyumba atakapoondoka na kufunga mlango, mtasimama nje mkibisha mlango na kusema, ‘Bwana! Tufungulie mlango!’ “Lakini yeye atawajibu, ‘Siwajui ninyi, wala mtokako.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.