Native Bible

Luke 13:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akapita katika miji na vijiji, akifundisha wakati alisafiri kwenda Yerusalemu.

Luke 13:22 in English

Luke 13:22 · Berean Standard Bible

Then Jesus traveled throughout the towns and villages, teaching as He made His way toward Jerusalem.

Context

20Yesu akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mungu na nini? 21Unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.” 22Yesu akapita katika miji na vijiji, akifundisha wakati alisafiri kwenda Yerusalemu. 23Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana, ni watu wachache tu watakaookolewa?” 24Yesu akawaambia, “Jitahidini sana kuingia kupitia mlango mwembamba, kwa maana nawaambia wengi watajaribu kuingia, lakini hawataweza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.