Luka 13:21
Luke 13:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.”
Luke 13:21 in English
Luke 13:21 · Berean Standard Bible
It is like leaven that a woman took and mixed into three measures of flour, until all of it was leavened.”
Context
19Umefanana na punje ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake. Nayo ikakua, ikawa mti nao ndege wa angani wakatengeneza viota vyao kwenye matawi yake.” 20Yesu akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mungu na nini? 21Unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.” 22Yesu akapita katika miji na vijiji, akifundisha wakati alisafiri kwenda Yerusalemu. 23Mtu mmoja akamuuliza, “Bwana, ni watu wachache tu watakaookolewa?”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.