Luka 11:54
Luke 11:54 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
wakivizia kumkamata kwa kitu atakachosema ili wamshtaki.
Luke 11:54 in English
Luke 11:54 · Berean Standard Bible
waiting to catch Him in something He might say.
Context
52“Ole wenu ninyi wataalamu wa sheria, kwa sababu mmeuondoa ufunguo wa maarifa. Ninyi wenyewe hamkuingia, na wale waliokuwa wanaingia mkawazuia.” 53Yesu alipoondoka huko, walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali, 54wakivizia kumkamata kwa kitu atakachosema ili wamshtaki.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.