Native Bible

Luke 11:53 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu alipoondoka huko, walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali,

Luke 11:53 in English

Luke 11:53 · Berean Standard Bible

As Jesus went on from there, the scribes and Pharisees began to oppose Him bitterly and to ply Him with questions about many things,

Context

51tangu damu ya Abeli mpaka damu ya Zekaria, aliyeuawa kati ya madhabahu na mahali patakatifu. Naam, nawaambia, kizazi hiki kitawajibika kwa haya yote. 52“Ole wenu ninyi wataalamu wa sheria, kwa sababu mmeuondoa ufunguo wa maarifa. Ninyi wenyewe hamkuingia, na wale waliokuwa wanaingia mkawazuia.” 53Yesu alipoondoka huko, walimu wa sheria na Mafarisayo wakaanza kumpinga vikali na kumsonga kwa maswali, 54wakivizia kumkamata kwa kitu atakachosema ili wamshtaki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.