Luka 10:28
Luke 10:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”
Luke 10:28 in English
Luke 10:28 · Berean Standard Bible
“You have answered correctly,” Jesus said. “Do this and you will live.”
Context
26Yesu akamjibu, “Imeandikwaje katika Sheria? Kwani unasoma nini humo?” 27Akajibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote’; tena, ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ ” 28Yesu akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.” 29Lakini yule mtaalamu wa sheria, akitaka kujionyesha kuwa mwenye haki, akamuuliza Yesu, “Jirani yangu ni nani?” 30Yesu akamjibu akasema, “Mtu mmoja alikuwa akiteremka kutoka Yerusalemu kwenda Yeriko, naye akaangukia mikononi mwa wanyangʼanyi. Wakampiga, wakaondoka, wakamwacha akiwa karibu kufa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.