Native Bible

Luke 10:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akamjibu, “Imeandikwaje katika Sheria? Kwani unasoma nini humo?”

Luke 10:26 in English

Luke 10:26 · Berean Standard Bible

“What is written in the Law?” Jesus replied. “How do you read it?”

Context

24Kwa maana nawaambia, manabii wengi na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.” 25Wakati huo mtaalamu mmoja wa sheria alisimama ili kumjaribu Yesu, akamuuliza, “Mwalimu, nifanye nini ili niurithi uzima wa milele?” 26Yesu akamjibu, “Imeandikwaje katika Sheria? Kwani unasoma nini humo?” 27Akajibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote, kwa nguvu zako zote, na kwa akili zako zote’; tena, ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda mwenyewe.’ ” 28Yesu akamwambia, “Umejibu vyema. Fanya hivyo nawe utaishi.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.