Native Bible

Leviticus 25:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose katika Mlima Sinai,

Leviticus 25:1 in English

Leviticus 25:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses on Mount Sinai,

Context

1Bwana akamwambia Mose katika Mlima Sinai, 2“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Mtakapoingia katika nchi ninayowapa ninyi, nchi yenyewe ni lazima ishike Sabato kwa ajili ya Bwana. 3Kwa miaka sita mtapanda mazao katika mashamba yenu, nanyi kwa miaka sita mtaikata mizabibu yenu matawi na kuvuna mazao yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.