Native Bible

Leviticus 24:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana akamwambia Mose,

Leviticus 24:1 in English

Leviticus 24:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Moses,

Context

1Bwana akamwambia Mose, 2“Waagize Waisraeli wakuletee mafuta safi ya zeituni yaliyokamuliwa kwa ajili ya mwanga ili taa ziwe zinawaka daima. 3Nje ya pazia la Ushuhuda ndani ya Hema la Kukutania, Aroni ataziwasha taa mbele za Bwana kuanzia jioni hadi asubuhi bila kuzima. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.