Walawi 23:5
Leviticus 23:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Pasaka ya Bwana huanza jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza.
Leviticus 23:5 in English
Leviticus 23:5 · Berean Standard Bible
The Passover to the LORD begins at twilight on the fourteenth * day of the first month.
Context
3“ ‘Kuna siku sita mnazoweza kufanya kazi, lakini siku ya saba ni Sabato ya kupumzika, siku ya kusanyiko takatifu. Hamtafanya kazi yoyote. Popote mnapoishi, ni Sabato kwa Bwana. 4“ ‘Hizi ni sikukuu za Bwana zilizoamriwa, makusanyiko matakatifu mtakayoyatangaza kwa nyakati zilizoamriwa: 5Pasaka ya Bwana huanza jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. 6Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa kwanza, Sikukuu ya Bwana ya Mikate Isiyotiwa Chachu huanza; kwa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu. 7Katika siku ya kwanza, mtakuwa na kusanyiko takatifu, na msifanye kazi zenu za kawaida.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.