Walawi 23:7
Leviticus 23:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika siku ya kwanza, mtakuwa na kusanyiko takatifu, na msifanye kazi zenu za kawaida.
Leviticus 23:7 in English
Leviticus 23:7 · Berean Standard Bible
On the first day you are to hold a sacred assembly; you are not to do any regular work.
Context
5Pasaka ya Bwana huanza jioni ya siku ya kumi na nne ya mwezi wa kwanza. 6Siku ya kumi na tano ya mwezi huo wa kwanza, Sikukuu ya Bwana ya Mikate Isiyotiwa Chachu huanza; kwa siku saba, mtakula mikate isiyotiwa chachu. 7Katika siku ya kwanza, mtakuwa na kusanyiko takatifu, na msifanye kazi zenu za kawaida. 8Kwa siku saba mtamletea Bwana sadaka ya kuteketezwa kwa moto. Kwenye siku hiyo ya saba mtafanya kusanyiko takatifu, na msifanye kazi zenu za kawaida.’ ” 9Bwana akamwambia Mose,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.