Native Bible

Leviticus 19:36 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Tumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa* halali, na hini* halali. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri.

Leviticus 19:36 in English

Leviticus 19:36 · Berean Standard Bible

You shall maintain honest scales and weights, an honest ephah,* and an honest hin.* I am the LORD your God, who brought you out of the land of Egypt.

Context

34Mgeni anayeishi pamoja nawe ni lazima umtendee kama mmoja wa wazawa wa nchi yako. Mpende kama unavyojipenda mwenyewe, kwa maana ulikuwa mgeni katika nchi ya Misri. Mimi ndimi Bwana Mungu wako. 35“ ‘Usitumie vipimo vya udanganyifu unapopima urefu, kupima uzito, wala kupima wingi. 36Tumia mizani halali, mawe ya kupimia uzito halali, efa* halali, na hini* halali. Mimi ndimi Bwana Mungu wako, ambaye alikutoa katika nchi ya Misri. 37“ ‘Shika amri zangu zote na sheria zangu zote, nawe uzifuate. Mimi ndimi Bwana.’ ”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.