Native Bible

Leviticus 19:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi.

Leviticus 19:13 in English

Leviticus 19:13 · Berean Standard Bible

You must not defraud your neighbor or rob him. You must not withhold until morning the wages due a hired hand.

Context

11“ ‘Usiibe. “ ‘Usiseme uongo. “ ‘Msidanganyane. 12“ ‘Usiape kwa uongo kwa Jina langu, na hivyo kulinajisi jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana. 13“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako. “ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi. 14“ ‘Usimlaani kiziwi, wala usiweke kikwazo mbele ya kipofu, lakini umche Mungu wako. Mimi ndimi Bwana. 15“ ‘Usipotoshe haki; usionyeshe kumpendelea maskini, wala upendeleo kwa mwenye cheo, bali mwamulie jirani yako kwa haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.