Walawi 19:12
Leviticus 19:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Usiape kwa uongo kwa Jina langu, na hivyo kulinajisi jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.
Leviticus 19:12 in English
Leviticus 19:12 · Berean Standard Bible
You must not swear falsely by My name and so profane the name of your God. I am the LORD.
Context
10Usirudi mara ya pili katika shamba lako la mizabibu, wala usiokote zabibu zilizoanguka chini. Ziache kwa ajili ya maskini na mgeni. Mimi ndimi Bwana Mungu wako. 11“ ‘Usiibe.
“ ‘Usiseme uongo.
“ ‘Msidanganyane. 12“ ‘Usiape kwa uongo kwa Jina langu, na hivyo kulinajisi jina la Mungu wako. Mimi ndimi Bwana. 13“ ‘Usimdhulumu wala kumwibia jirani yako.
“ ‘Usishikilie mshahara wa kibarua usiku kucha hadi asubuhi. 14“ ‘Usimlaani kiziwi, wala usiweke kikwazo mbele ya kipofu, lakini umche Mungu wako. Mimi ndimi Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.